Poleni kwa majukumu ndugu zangu. Naomba msaada juu ya jinsi ya kufanya kwani mouse pointer (touch pad) ya Laptop Gateaway imegoma 'kutembea', hivyo kunifanya kushindwa kufanya kazi kwa ajali ya kesho. Laptop imewaka kama kawaida ila mouse pointer imegoma.
Naomba msaada juu ya nini cha kufanya ili kurekebisha tatizo hili linalotishia 'ugali' wangu.
Poleni kwa majukumu ndugu zangu. Naomba msaada juu ya jinsi ya kufaya kwani mouse ya Laptop Gateaway imegoma 'kutembea', hivyo kunifanya kushindwa kufanya kazi kwa ajali ya kesho. Laptop imewaka kama kawaida ila mouse imegoma.
Naomba msaada juu ya nini cha kufanya ili kurekebisha tatizo hili linalotishia 'ugali' wangu.
Pole, kwa kusumbuliwa, unapokwama kuwa karibu na waliokutangulia, uwaulize watakusaidia,
open keyboard angalia mkanda wa mouse kama upo sawa kuna uwezekano mkubwa ukawa umekaa vibaya au umechomoka
Poleni kwa majukumu ndugu zangu. Naomba msaada juu ya jinsi ya kufanya kwani mouse pointer (touch pad) ya Laptop Gateaway imegoma 'kutembea', hivyo kunifanya kushindwa kufanya kazi kwa ajali ya kesho. Laptop imewaka kama kawaida ila mouse pointer imegoma.
Naomba msaada juu ya nini cha kufanya ili kurekebisha tatizo hili linalotishia 'ugali' wangu.
moja,kwanza pole kwa yaliyokukuta..pili samahan kwa kuchelewa,mwisho,kama hujafanikiwa, do this....... bonyeza Fn+f1,f2,.............................................f12.... usiachie fn key...then anzia f1,bonyeza...hadi kumi na mbili..... ENJoy...