Msaada hapa

Je mtu anaweza kukutumia pesa ukazipata kwenye simu yako ya mpesa? Mfano akiwa canada na mimi sina account ya benki nataka tu kwenye simu afanyaje nizipate?
Western Union, Money gram n.k. vipi?
Hilo la kwenye simu subiri wenye elimu nalo waje.
 
Je mtu anaweza kukutumia pesa ukazipata kwenye simu yako ya mpesa? Mfano akiwa canada na mimi sina account ya benki nataka tu kwenye simu afanyaje nizipate?
Very possible. Mwambie atumue xoom... Watu wa canada wengi wanatumia Paypal maana ni kama mpesa yao, akiwa na paypal automatically ana xoom, so aingie xoom achague kutuma pesa tz achague mobile wallet achague mtandao aweke namba yako na kiasi utaipokea instatntly
 
thanks kwa jibu lako mkuu umesomeka
 
Adownload WorldRemit au Remitly hizo zote ni apps, utapokea pesa direct kwenye mtandao wako wa simu, western union au money gram zishapitwa na wakati siku hizi
thanks mr doctor kuna mtu nataka nimpge kizinga ila anajidai hajui kutuma na kwa msaada huu konyag ya mwez mzima naona nikiipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…