DavidHard JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 436 Reaction score 286 Apr 9, 2015 #1 Anayefahamu wapi wanauza vifaa vya simu za NOKIA.Hasa screen za simu.hapa dar naomba anijuze.simu yangu ni NOKIA XL imedondoka chini na kupasua kioo chake.
Anayefahamu wapi wanauza vifaa vya simu za NOKIA.Hasa screen za simu.hapa dar naomba anijuze.simu yangu ni NOKIA XL imedondoka chini na kupasua kioo chake.