Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,287
- 483
Hallo Wana JF.
Natumai humu ndani kuna linguists,watakao weza kung'amua utumiaji sahihi wa haya Maneno katika lugha hii ya Ki-Ingereza inayosadikika kuwakimbiza Mchaka Watanzani waliowengi ndani ya Jumuiya Afrika Mashariki Kiasi cha kupelekea aibu kwenye kuijieleza kwa Waheshimiwa wa Bunge letu la E.Africa kwa upande wa Members wa TZA.
Ninaomba kujua usahihi katika hizi sentensi Mbili hapa chini zikihusisha Maneno mawili(Engaged & Occupied)
1.The public toilet is Occupied
2.The public toilet is engaged
Tafadhali, nnaomba kujua ni neno lipi lilotumika kiusahihi hapo Juu na ni kwanini. Je kama yote ni(Similar) kwa nn moja tu ndio liwe sahihi zaidi ya mwenzie!?
Thanks.
AnyOne Mr.Msigwa J.
Occupied.
Hallo Wana JF.
Natumai humu ndani kuna linguists,watakao weza kung'amua utumiaji sahihi wa haya Maneno katika lugha hii ya Ki-Ingereza inayosadikika kuwakimbiza Mchaka-Mchaka Watanzani waliowengi ndani ya Jumuiya Afrika Mashariki Kiasi cha kupelekea aibu kwenye kuijieleza kwa Waheshimiwa wa Bunge letu la E.Africa kwa upande wa Members wa TZA.

Toilets are inanimate objects. They can only be occupied but never engaged. So, in my humble opinion number 1 is correct and number 2 is not possible.
Labda kama tutakuwa na smart toilets zitakazozungumza na sisi, siku zote tuta-occupy toilets.
Tutakapopata smart toilets zinazotuambia zinajisikiaje tunapozichafua basi tutaweza kusema toilets na sisi can engage.
Engaged is too british (sounds funny in other words).Mkuu si ungeweka hata gravy kidogo
Engaged is too british (sounds funny in other words).
Occupied is widely used even in french they use occupe, in spanish ocupado.
Occupied is common worldwide.
Mkuu hii picha ambazo ndio vyoo karibu vyote inatumika (British toilets)
View attachment 150018
Cc: #teamWekaPicha
Sidhani kama uko sawa
Yes Sir!Ooh sure? So kuna toilet ambazo unakuta pamendikwa 'occupied?'
Nani kwakuambia kuwa the British speak perfect English. Nifuate mimi mkuu wazungu watakupoteza - LOL.
Yes Sir!
English as in "British" is too localMkuu kwani nimebishaaa!! Ndio niko njiani nakuja, so pure english kama ni watu gani mkuu, yani wanaitwaje?
Mkuu kwani nimebishaaa!! Ndio niko njiani nakuja, so pure english kama ni watu gani mkuu, yani wanaitwaje?
t's debatable but "english" as in British is considered too local.
Mkuu unaweza kuwa sawa niko kwenye forum moja wa hawa jamaa sometimes I get stuck kuelewa wana vineno vingi vingi ambavyo si common mfano;
NIL=next in line
ONO=or near offer
REGO=registration
uni=university
ute=utility
TIA=thanks in advance
Na mengine mengi naona hata sisi tumeanza kuadopt kama BTW nk
Ni sawa na kiswahili cha Lamu. Ingawa kimeanzia huko, huwa hakina mashiko.Basi British wanaharibu kizungu maana thats common language kwenye British toilets, ukiandika occupied it will be idiomatic or colloquial english
Hallo Wana JF.
Natumai humu ndani kuna linguists,watakao weza kung'amua utumiaji sahihi wa haya Maneno katika lugha hii ya Ki-Ingereza inayosadikika kuwakimbiza Mchaka-Mchaka Watanzani waliowengi ndani ya Jumuiya Afrika Mashariki Kiasi cha kupelekea aibu kwenye kuijieleza kwa Waheshimiwa wa Bunge letu la E.Africa kwa upande wa Members wa TZA.
Ninaomba kujua usahihi katika hizi sentensi Mbili hapa chini zikihusisha Maneno mawili(Engaged & Occupied)
1.The public toilet is Occupied
2.The public toilet is engaged
Tafadhali, nnaomba kujua ni neno lipi lilotumika kiusahihi hapo Juu na ni kwanini. Je kama yote ni(Similar) kwa nn moja tu ndio liwe sahihi zaidi ya mwenzie!?
Thanks.
Ndg. for just a simple meaning, occupy means take some chance or holding something while engage means being part of or being involved into. kwa hiyo ni sahihi No.1 kuwa "the pub toilet is occupied" meaning it is taken/ being used by somebody na sio engaged