neverthatserious Senior Member Joined Jun 1, 2012 Posts 106 Reaction score 13 Aug 10, 2013 #1 habari wana jamvi,natumia samsung galaxy S3 mini inakataa kufungua play store na hua ikiload baada ya muda inaandika 'conection time out' naomba msaada kwa anayeweza tatua hili tatizo...natanguliza shukrani
habari wana jamvi,natumia samsung galaxy S3 mini inakataa kufungua play store na hua ikiload baada ya muda inaandika 'conection time out' naomba msaada kwa anayeweza tatua hili tatizo...natanguliza shukrani