Wakuu habari.
Kuna email yangu ya Gmail nilikuwa naitumia zamani lakin niliisign in kwa sim tu na simu ile ikapotea na namba sikuirenew
Email hiyo sijaitumia kwa takribani miaka 6 lakin hivi karibuni nimekumbuka email ile ina vitabu flani ni ngum kuvipata maana nilitumiwaga tu.
Nawezaje kuirecover email ktk mazingira kama haya? Nimejaribu nimeshindwa.
mwl RCT na wengine msaada wenu nauhitaj