Jamani mm nimpya ktk JF lkn naomb kuuliz ukwel kuhusu course ya geomatic na geoinformation zote ni ardhi....je zimetofautian nin na ni IPI nzur
Asanteni
ina shughuli nyingi ila main ndo hyo kama unavojua civil engineer n mjenzi.......ila wanahusika na kuchukua points za viwanja yaani levels .....kujua coordinates yaan inshort kama umesoma survey ya geograph masuala ya theodalite ndo mambo yaoYou mean inadeal na upimaj t pekee
Jamani mm nimpya ktk JF lkn naomb kuuliz ukwel kuhusu course ya geomatic na geoinformation zote ni ardhi....je zimetofautian nin na ni IPI nzur
Asanteni
Umemaliza kamandaGeomatics ni jina jipya la kozi zamani ikijulikana kama Land Survey (Masorovea, wapima viwanja, a.k.a Wasaka Nyoka a.k.a Giants). Kwenye kozi hii utajifunza kuipima dunia kwa usahihi mkubwa sana. Mienenodo ya mabara, na makorokocho mengine ya dunia,, japo kwa milimita kadhaa kwa muda fulani mrefu. Kupima barabara, ardhi (viwanja), mambo ya migodini, na ujenzi wa majengo na structure nyingine mbalimbali, kwa usahihi mkubwa sana. Yaani mpaka kiwango cha milimita usahihi kwenye kupima makilomita ya barabara au mahektari ya ardhi. Kozi hii uwe "mzima" kwenye hesabu na fizikia. Ni nzuri sana kwa kjiajiri na kwa kuajiriwa.
Geoinformatics ni kozi mpya iliyotokana na usorovea. Kwenye kozi hii, taarifa kuhusu dunia zinakusanywa, kuchakatwa na kuwasilishwa. Hii kozi iko njia panda kati ya Usorovea na Sayansi ya Kompyuta. Ni mchanganyiko mahususi wa sanaa na sayansi. Kwa ufafanuzi zaidi, angalia maelezo ya diploma yake:
Mamtoni Bongo: Diploma in Geoinformatics
Mkuu geomatics unaweza jiajiri vipi....?Geomatics ni jina jipya la kozi zamani ikijulikana kama Land Survey (Masorovea, wapima viwanja, a.k.a Wasaka Nyoka a.k.a Giants). Kwenye kozi hii utajifunza kuipima dunia kwa usahihi mkubwa sana. Mienenodo ya mabara, na makorokocho mengine ya dunia,, japo kwa milimita kadhaa kwa muda fulani mrefu. Kupima barabara, ardhi (viwanja), mambo ya migodini, na ujenzi wa majengo na structure nyingine mbalimbali, kwa usahihi mkubwa sana. Yaani mpaka kiwango cha milimita usahihi kwenye kupima makilomita ya barabara au mahektari ya ardhi. Kozi hii uwe "mzima" kwenye hesabu na fizikia. Ni nzuri sana kwa kjiajiri na kwa kuajiriwa.
Geoinformatics ni kozi mpya iliyotokana na usorovea. Kwenye kozi hii, taarifa kuhusu dunia zinakusanywa, kuchakatwa na kuwasilishwa. Hii kozi iko njia panda kati ya Usorovea na Sayansi ya Kompyuta. Ni mchanganyiko mahususi wa sanaa na sayansi. Kwa ufafanuzi zaidi, angalia maelezo ya diploma yake:
Mamtoni Bongo: Diploma in Geoinformatics
Geomatician kwa maana ya land surveyor unaweza jiajiri kwa kufanya kaz kama surveyor binafsi na sio wa serikal km wale wa halmashaur, ukiwa na mtaj mkubwa wa kuweza miliki vifaa vya upimaji itakua vzur ila ukishindwa vifaa hua vinakodishwa. Unakod na kufanya kaz zako vzurMkuu geomatics unaweza jiajiri vipi....?
Lakini mkuu hii inalipa vizuri kama kozi nyingine za engineering au ndo pesa za msimu na kubahatisha bahatisha...????Geomatician kwa maana ya land surveyor unaweza jiajiri kwa kufanya kaz kama surveyor binafsi na sio wa serikal km wale wa halmashaur, ukiwa na mtaj mkubwa wa kuweza miliki vifaa vya upimaji itakua vzur ila ukishindwa vifaa hua vinakodishwa. Unakod na kufanya kaz zako vzur