Msaada: Gari yangu inatumia mafuta sana

Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,025
2,261
Wakuu,

Nini sababu ya gari yangu inatumia mafuta. Nimeangalia mfumo wa engine yake haitimii curburator, ni direct injection.
Aina: Hillux double cabin
Fuel: petrol engine
Cc: 1998 (approx 2000cc)
Milleage: 150,000km
Note: Pressure tyre huwa nakagua iko safi, napita lami hivyo mara kwa mara natembelea (75% ya safari) gear gears #4 au #5 nabalance mafuta vizuri tu (60 to 100kmh) Exhaust haitoi moshi hata tone na gari ina nguvu tu vizuri.
 
Safisha mfumo wa hewa. Angalia mfumo mzima wa mafuta kuanzia fuel pump mpaka fuel re-circulation valve. Angalia plugs pia.
 
Safisha mfumo wa hewa. Angalia mfumo mzima wa mafuta kuanzia fuel pump mpaka fuel re-circulation valve. Angalia plugs pia.
Thanks. Nahisi mfumo wa hewa na mfumo wa mafuta uliosema.
Plug niliweka mpya tena orijino za bosch.
 
Ndugu zako wanakuonea wivu, wametuma jini kwenye Gari yako. Jini Hili linamaliza mafuta yako. Fanya sala kabla hujaanza safari, ombea Gari yako, ombea barabara utakazotumia, pia kema kila Roho inayomalizaafuta kwa njiani isiyo ya kawaida
Jini ni yeye mwenyewe asieshughulikia gari, mda alionao nikuendesha tu.
 
Sio mbaya mi ninayo hardbody inaenda km 5 hadi 6.5 ina cc 3000 diesel na catalogue yake imeandikwa hivo hivo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom