mwendapole12
Member
- Apr 2, 2022
- 21
- 26
Wakuu naomba mnisaidie kitu nilisafiri yapata week mbili nikaliacha gari langu aina ya IST ila baada ya kurudi nimeliwasha likawaka ila silensa ilikuwa juu sana.
Baadaye ikaanza kutoa halufu kwenye injini kama kuna kitu kinaungua nikawahi kuizima baada ya hapo ikawa haipigi stata tena yaani stata haiwaki inatoa sauti kama feni mbovu iliyo staki.
Vuuuuu haizunguki yaani hata kidogo afu pia ila moto unafika kwenye dash board vizuri tu sijui shida iko wapi.