Msaada: Galaxy note gt n8000

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,234
Reaction score
1,503
Habari wana jamii. Hii tablet ilikuwa ina-run very smooth. Lakini sasa ina tabia si yakawaida. Nikiwa na-surf kwenye internet, ghafla inarudi home screen. Ukifungua browser, inarudi kwenye page ileile uliyokuwa uki-surf. But sometimes hairudi palepale na inabidi nifungue page upya. Tatizo na suluhu ni nini wadau?
 
Uenda ni memory imepungua jaribu ku clear memory mfano cache memory, clear browsing history ,downloads ikibidi uninstall apps ambazo hutumii sana, hamishia zingine kwenye memory card kama uli install kwenye internal memory, pia sms messages kagua kila kitu. Kisha utaona kama itafanya kazi.
 

Asante mkuu. Ngojea nijaribu.
 
I personally like chrome since u can do a lot with chrome
 
downlod sd maid itakusaidi ina feature nyingi ikiwemo clen app,
Unapeleka app kwenye sd card ina kamata vairas nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…