nina simu yangu ya galaxy note 3 original nimenunua takribani miezi 3 sasa, ila kuanzia jana nimejaribu kuichaji imegoma kabisa kuingiza chaji hivyo imezima naomba msaada hapo.
Mtihani, sku nyingine ununue kwa authorised dealer, hakuna Samsung yenye warranty ya months!! Pole sana mkuu. Kabla haujaenda kwa fundi hebu jaribu kutupia battery nyingine kwenye hiyo simu uone.