mkandaboy JF-Expert Member Joined Jan 19, 2012 Posts 257 Reaction score 89 Jun 29, 2013 #1 Amani iwe kwenu wana JF popote mlipo. Naandika kuomba msaada wenu wa kuunganishwa na fundi mzuri/mjuzi wa mashine ya kufua. Yeyote mwenye kufahamiana na fundi, tafadhali sana naomba mawasiliano. Natanguliza shukurani zangu kwenu!
Amani iwe kwenu wana JF popote mlipo. Naandika kuomba msaada wenu wa kuunganishwa na fundi mzuri/mjuzi wa mashine ya kufua. Yeyote mwenye kufahamiana na fundi, tafadhali sana naomba mawasiliano. Natanguliza shukurani zangu kwenu!
B blackwoman Member Joined Jun 12, 2013 Posts 14 Reaction score 1 Jun 29, 2013 #2 Amani ya bwana iwe nawe pia,mm nafahamiana na fundi wa mashine za kufulia je uko siriazi na uko wapi? mm na a town.
Amani ya bwana iwe nawe pia,mm nafahamiana na fundi wa mashine za kufulia je uko siriazi na uko wapi? mm na a town.
M MTITUgasto New Member Joined Aug 31, 2014 Posts 4 Reaction score 1 Sep 29, 2023 #3 blackwoman said: Amani ya bwana iwe nawe pia,mm nafahamiana na fundi wa mashine za kufulia je uko siriazi na uko wapi? mm na a town. Click to expand... Naomba nsaidie
blackwoman said: Amani ya bwana iwe nawe pia,mm nafahamiana na fundi wa mashine za kufulia je uko siriazi na uko wapi? mm na a town. Click to expand... Naomba nsaidie
Mkonowatembo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 1,119 Reaction score 1,024 Sep 29, 2023 #4 Ina shida gani nikuelekeze unaweza tatua mwenyewe
Mkonowatembo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 1,119 Reaction score 1,024 Sep 29, 2023 #5 Ina shida gani nikuelekeze unaweza tatua mwenyewe ila usiache leta sadaka
God Baba JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 424 Reaction score 175 Sep 29, 2023 #6 Mashine aina gani?