klorokwine
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 378
- 33
Mkuu usikremu hayo maelimu yenu ya kupeana vyeti na kukariri,ujasiriamali unawigo mpana sana zaidi ya hizo Bachelor za Mzumbe ulizotaja hapo.Coz ya ujasiriamali? Haitolewi nchini? Mzumbe ipo BBA. ENTREPRENEURSHIP DEVELOPMENT. na masters ipo. MUccobs zipo za kutosha vip bhana ni ujasiriamali ghani unaoungelea?
Mkuu usikremu hayo maelimu yenu ya kupeana vyeti na kukariri,ujasiriamali unawigo mpana sana zaidi ya hizo Bachelor za Mzumbe ulizotaja hapo.
Dharau gani,kwani nimezungumza uongo?Unahitaji msaada huku unaleta dharau......kila la kheri.
Unahitaji msaada huku unaleta dharau......kila la kheri.
Acha uongo.
We kozi ya ujasiriamali hadi uende nje eti Tanzania hauna.
Nyambafff,umenikera kweli kwa kuona wote humu mazuzu kama wewe.
Hakuna maisha ya mkato,hembu jipange acha umbulula.
Mnatoroka Mirembe bila memo mnatupa sana shida JF.
Mtafute mwenzio lukeo Sakafu,atakupa msaada
Mkuu usikremu hayo maelimu yenu ya kupeana vyeti na kukariri,ujasiriamali unawigo mpana sana zaidi ya hizo Bachelor za Mzumbe ulizotaja hapo.
Unahitaji msaada huku unaleta dharau......kila la kheri.
Duh,hatari!msomi wa ki Tanzania huyo!!Kama kaona Tanzania tuna elimu ya kukariri, awaombe wasiokariri wamwandikie. Ndo shida ya kuwa na Transcrip za milembe
Usiwe na mentality ya kuajiriwa tu kijana,huo ni utumwa wa fikra.Hata waziri mkuu wako hivi juzi tu alisisitiza wazawa wafungue viwanda vidogovidogo na vya kati i0li kukuza uzalishaji wa ndani,huo ni ujasiriamali na pia ni biashara.Huyu jamaa kiazi kinona. Kaguswa kidogo kapaniki. Yani anataka ufadhili kwa kozi ya ujasiriamali,asome amalize aje afanye biashara! Ha ha ha
Nilifikiri zaidi ya fee structure na personal fund,ni vizuri kama ningechanganua ni kwa kiasi gani baada ya kusoma kozi hiyo ingeweza kunisaidiaje na pia ingetoa mchango gani kwa jamii na taifa kwa ujumla mkuu.Halafu, hii mada kama vile ni jokes tu, hivi unaandikaje fund proposal zaidi ya vile ilivyokuwa outlined kwenye fee structure ambayo huonesha fee paid direct to school and fund for personal use kama vile chakula, malazi, vitabu nk. Hapa unaleta utani tu usiokuwa na tija. Hata hivyo bado tunaweza kukusaidia endapo utafunguka sawa sawa
Usiwe na mentality ya kuajiriwa tu kijana,huo ni utumwa wa fikra.Hata waziri mkuu wako hivi juzi tu alisisitiza wazawa wafungue viwanda vidogovidogo na vya kati i0li kukuza uzalishaji wa ndani,huo ni ujasiriamali na pia ni biashara.
Mbali zaidi ina create ajira kwa wengine,sasa sijui unachoshangaa kuhusu biashara ni nini.
Poor you!
Naweza kukuajiri mkuu na kukusomesha pia.