Sawa mkubwa napambana kutafuta kazi piaEdit hapo 'sponsorship'
Dogo hata sisi tulistruggle sana tafuta kazi yeyote kwanza ndipo upate uzoefu ndio ujue utapataje masters
Mkuu hicho kitunguu ulilima bila gharama zozote?Mkuu.njoo tulime vitunguu huku Ruvu,mwaka jana nililima na mwaka huu nalima so nimekamilisha karo ya masters na gharama zingine.....
Mwaka huu natimba SUA chuo changu mama tukakandamize makilimo sisi
Teh...anza na pesa kidogo mkuuMkuu hicho kitunguu ulilima bila gharama zozote?
Niko tayari kulima km ntapata milion moja tu! i have bigger plans but....!
Habari wanajukwaa
Naomba msaada kwa wataalamu wa namna ya kupata ufadhili kwa masomo ya masters(project management) au (Maswala ya utafiti tu) nje au ndani ya nchi.
Nahitaji kusoma zaidi ili kupanua wigo wa kuweza kupata ajira hasa katika "international organisations"
Nimemaliza degree ya kwanza (2016),
Sina uwezo wa kusoma hyo masters kwa kujilipia mwenyewe nahitaji wafadhili.
Sina ufahamu wa maswala haya japo natambua kuna serikali na vyombo binafsi vinatoa ufadhili huo.
Nahitaji msaada wenu nyote hasa wenye uwelewa wa maswala haya muhimu.
Natanguliza shukrani kwa wote.
wiser1
Umemaliza chuo gani ?Habari wanajukwaa

Ruvu ipi hiyo unalima vitunguu mkuuMkuu.njoo tulime vitunguu huku Ruvu,mwaka jana nililima na mwaka huu nalima so nimekamilisha karo ya masters na gharama zingine.....
Mwaka huu natimba SUA chuo changu mama tukakandamize makilimo sisi