Habari Wana Jf, Naomba Kwa Anaejua Faculties za chuo kwa waliosoma combination ya EGM.
ahsanten!!
Habari Wana Jf, Naomba Kwa Anaejua Faculties za chuo kwa waliosoma combination ya EGM.
ahsanten!!
building economy aridhi wanatoa hii kozi
Kwa hizo passmark unaruhusiwa tu kuhama..haina tatizo!Jamani Hv Kama Umepangiwa Egm Una Two Ya 19 unaweza kuhama comb kwenda pcb kama chemistry una c,physics una d na biology una b lakn math una c.naombeni ushauri wenu