Msaada: FrIji imefeli kupooza vitu

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,472
Reaction score
1,582
Wakuu nilikua nimesafri bahati mbaya nikaacha (nilisahau) vitu kwenye friji,kutokana na Matatizo ya tanesco nimerudi nikakuta vitu vimeharibika na friji inatoa harufu mbaya sana.
Kwa kweli niliisafisha na kuweka matunda na maji tu,cha ajabu leo ni siku ya pili yaani ubaridi hamna,upo wa mbali sana,lakini freezer kwa chini linafanga kazi.Wakuu tatizo ni nn au nilikosea wapi wakati wa kusafisha?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…