Wanafunz wa mwaka huu jauuu sana me nimeingia advance siijia kama kuna kitu kinaitwa jf, wala Instagram,,, ilaa watoto wa siku izii duuu,,, somen acheni mitandao mda ukifika mtataumia......... Kusoma sio kitu rahisi hasa ukianza kujichanganya kwenye social media... Utanambia tuuu