Dogo mbona yupo online na anapiga kazi freshi ku recover losses. Unajua kilichomkutaga ni over confidence na kujiona kwamba forex anaweza kuichezea atakavyo akasahau kanuni za risk management akatandikwa, ku force comeback nayo ikakataa akajikuta amechoma account yake na za wafuasi wake 😂😂😂!
Sahivi naona anacheza kistaarabu kwa adabu zote! Though kuna watu wamemkimbia