Msaada: Follcular Thyroid Hyperplasia

J33

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,552
1,512
Kuna dada yangu ana uvimbe shingoni, alienda KCMC baada ya matibabu ya muda wakamreffer kuja Muhimbili amepimwa na majibu yameandikwa ivyo kama inavyosemeka kwenye topic, naomba kujua huo ni ugonjwa gani na nn tiba yake maana bado yupo hapa Dar hajarudi KCMC kupeleka majibu kwa Daktari.

Duc In Altum.
 
google mkuu
Nimejaribu imeandikwa kwa lugha ya kitaalamu sana nimeshindwa kuelewa naamin watakuja wataalamu then watanielezea kwa lugha ya kueleweka!

Duc In Altum.
 
Wewe hupaswi kutafsiri majibu ya mgonjwa wako, mpelekee daktari majibu na yeye kupitia dada yako baada ya kupata ridhaa ndiyo atakuelezea hilo ni tatizo gani maana ugonjwa ni siri ya daktari na client wake. Hiyo ndiyo medical ethics
 
Kuna dada yangu ana uvimbe shingoni, alienda KCMC baada ya matibabu ya muda wakamreffer kuja Muhimbili amepimwa na majibu yameandikwa ivyo kama inavyosemeka kwenye topic, naomba kujua huo ni ugonjwa gani na nn tiba yake maana bado yupo hapa Dar hajarudi KCMC kupeleka majibu kwa Daktari.

Duc In Altum.
Anitafute mimi nipate kumtibia kwa dawa zangu za asili na atapona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Back
Top Bottom