Jmn flash yangu aina ya twinMOS imeharbka baada ya kuiwekea partition kwa ku2mia software, sasa nkiweka kwenye computer naandkiwa new driver installed successful and read to use but nktaka kui2mia naambiwa
insert volume
any help please
mayb Huja Locate Hzo Partition... Nemda Pale Mycomputer Then right Click Af Manage Then Shuka Mpaka Kwenye Disk Management Ztatokea Storage device Zote... chagua Hio Flash Ukisha Iclick Utakuta Kuna Kuna Partition Ulizo weka Then Right click Then new Volume Ziwekee Herufi Then Ur Don... fanya Hvyo Katika Partition zotee
ila Im Not so Sure Na Hii Njia Coz Cjaprove Na Sna Flash Ya Kutest Hapaaaa