evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,195
Habari Wakuu
Kama kichwa kinavosema,
Nina flash yangu nikiweka kwa computer inaonesha, "This device is write-protected " inayo nyimbo ndan na zinacheza vizuri tu, ila hazifutiki Wala kuformat haikubal,
Nikjaribu kuongeza Kitu inakuja hiyo statement ya protection, so Sijajua imefungwaje, maana inaonesha ipo protected wakat sijawai kuilock au labda ni mtu kanifanyia pasipo kujua au kwa kujua
Naomben MSAADA wenu Wakuu, ninaitumia flash Na vitu vya Muhimu,[