check huenda kuna files ziko hidden humo ndani sema huwa zinabadilishwa zinakuwa kama system files, mara nyingi huwa ni result ya virus.
fungua hyo flash afu;
Nenda organize---folder and search options----View--- click show hidden files---- afu click hide system files recommended baada ya hapo apply afu ok and ok
kuundo ulichofanya fuata procedure hizo hizo
Hebu ni PM nikusaidie maana wengine tunaishi kwa hivi vitu.IMEGOMA BRO hakuna kinachopatikana mkuu, hakuna programe nyingne ya kitaalamu zaidi?
bila shaka ujaifomati hiyo flash..
Jaribisha hii njia.
angalia hiyo flash yako imepewa herufi gani mf E au F..
fungua command prompt.(cmd)
kama unatumia windows 7 bonyeza start alafu pale kwenye search programs and files type CMD then enter..
itakuja hiyo cmd sasa andika herufi ya hiyo flash yako mfano kama ni f andika F: alafu enter
inatakiwa itokee F:\>
andika attrib -r -a -s -h alafu enter
cheki tena kwenye flash yako kama kuna vitu viongezeka..
all the best
inaniambia atrib is not recognized as an internal or external command
NI RAIS SANA DOWNLOAD PROGRAM INAYOITWA "HP USB Disk Storage Format Tool" UTAWEZA KURUDISHA MEMORY YA HIYO FLADH YAKO BUT HUWE TAYAR KUFORMAT HIYO FLASH
Msaada wajameni kwenye tuta,,
Nina Flash nilimuazima mtu kuirudisha ikaja imepoteza mafile yang ila ujazo uko vile vile wa GB 4 ila ukifungua kuna file za MB 2 tu
Hatua:
1. Nilijaribu kurecover file kwa program ya Data Recovery but results hakuna kinachopatikana.
NAOMBENI MSAADA BANDUGUz humu ndani coz ina mafile muhimu sana jamani nsaidieni uuuuuu,,,,,
duh!!!!!Hebu ni PM nikusaidie maana wengine tunaishi kwa hivi vitu.
kuwa mwangalifu na hizo command unavyoziingiza, ukikosea herufi hata moja tu kama ulivyofanya hapo juu lazima ikatae. (attrib *. -h -s /s /d) copy na paste ili kueouka kukosea, na mwisho usisahau kuexit kwa kutumia "exit" command (unaandika exit halafu unaenter) Hiyo njia aliyokupa ukweli2 lazima itakuonesha files zako zote,kisha unazicopy pembeni unaformat. fanya kwa uangalifu itakubali.inaniambia atrib is not recognized as an internal or external command
duh!!!!!
kawaida usiogope, wakati huo majibu yote yapo google!
mkuu naomba msaada wako nina flash ya 8gb, imegoma kuingiza na kutoa data yeyote yaani ni kama ina password wakati sijaweka, baada ya hapo katika kujaribu nikataka niifomati kabisa lakini nayo inanigomea, inasema ni protected na kila nikijaribu inagoma na saizi nikichomeka kwenye computer inasema format nikifomati inaniambia ni protected. Mkuu tafadhali nisaidie kwa hilo.
umetumia tool gani kuformart?...most likely umeshaagana nayo hiyo!