Msaada: Flash haiingizi wala kutoa vitu

G_real

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
684
Reaction score
857
Wakuu kuna jamaa nilimpatia flash 32 GB, baada ya kunirudisha ikawa haiingizi wala kutoa vitu. Mwenye kujua jinsi ya kuifungua naomba anielekeze.
 
Write Protection hio, Kutoka Shughuli sana kama Sio Mtaalamu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…