msaada, flash disk

msaada, flash disk

sky_haf

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Posts
220
Reaction score
23
nina flash yangu, ADATA, 16GB, imegoma kusoma kwenye pc zaidi ya 3.
Nimejaribu kwenda kwenye device manager nimeikuta ina error, nilipojaribu ku-update driver inasema "this device can not start (code 10)"
Naomba msaada kama kuna uwezekano wa kuitumia tena flash yangu.
 
umejaribu kuiformat?
 
Haisomi katika my computer, inapokua installed inakua unrecognized

NO way out hapo mkuu hiyo ni imekufa.
Hakunaga matengenezo ya ziada ya Flash au Memory card zaidi ya kuiformat.
kama is unrecognized or cannot formated maanas yake ni imekufa.
 
Mbona unanikatisha tamaa mkuu
 
Hebu nipe background ya hiyo flash kabla ya kupatwa na hilo tatizo.

Kuna mtu alitaka nimtilie program kwenye laptop yake ambayo nilikua nayo kwenye flash, baada ya kumuingizia kuirudisha kwangu ikaditect virus,
Nikamuuliza anatumia antivirus gan akanambia hana antivirus, nikaiscan, ikaanza kupoteza mafile bila ya MB kupungua, nikai format na kuanza kutumia tena, hapo haikumaliza siku ikagoma
 
RAYO5
Nimecheeeka saaana japo ckupenda...
Ngoja nimsaidie..
Beinafuu means low quality na inakufa mapema...
Upo hapo bab....

Nimefahamu alichomaanisha, si kila chae bei nafuu kinakufa haraka, vpo vya bei ghali na vnakufa mda mfup
 
Nashukuru hukunielewa vibaya,nikupe mfano mimi nilinunua external hard drive 720GB baada ya two weeks ikawa haisomi nilivyoirudisha pale dukani jamaa akaniambia nitakuwa nimeiangusha(nina uhakika NO) so hakuna guarantee na yeye sio fundi.nilijaribu kuzunguka kwa mafundi kila anayeiangalia ananiambia haifai teknolojia iliyotumika sio rahisi kuimodify.hizi storage devices mkuu ni ngumu kurepare kozi wametumia high tech kutengeneza,fanya tu mpango wa nyingine but nakushauri usinunue tena hiyo Adata,maybe Sandisk au Silicon..
 
Hamna tatizo mkuu, ninayo kingston natumia
 
Back
Top Bottom