Habari,
Nilinunua Sony DVD Home Theatre( DAV - TZ150)na kila ninapoweka flash ili kucheza miziki ya MP4 formats ina display message " Video Frame not supported" na sauti unaisikia ila picture Ndio haionekani.
Naomba msaada jinsi ya kurekebisha.
Duh! Sasa si itapunguZa video quality? Unaweza nisaidie upatikanaji wa hiyo Total Video converter software? Nina super video converter Lakini haina ufanisi na ilikuwa trial version so imekwisha.
Duh! Sasa si itapunguZa video quality? Unaweza nisaidie upatikanaji wa hiyo Total Video converter software? Nina super video converter Lakini haina ufanisi na ilikuwa trial version so imekwisha.
Tumia Format Factory and convert to MPEG (or any supported format) ingawaje huwa hainipi flavor kwa converted files. Unaweza pia ku-include na subtitles while converting!
Kwanza lazima ujue hiyo DVD home treatre inasapoti format ipi kuplay video mfano AVI au MPEG. Tumia format factory ku convert video.
Output setting pangilia hivi kama hii picha kwenye MPEG
Habari,
Nilinunua Sony DVD Home Theatre( DAV - TZ150)na kila ninapoweka flash ili kucheza miziki ya MP4 formats ina display message " Video Frame not supported" na sauti unaisikia ila picture Ndio haionekani.
Naomba msaada jinsi ya kurekebisha.
Hapo tatizo siyo format, tatizo frame rate. Kuna baadhi ya DVD players haziwezi kuplay video yenye framerate zaidi ya 30fps. Kwa hiyo kama una user manual unaweza ukaangalia kwa uhakika zaidi.
Vilevile nashauri watu wasipendelee kuconvert videos kwenda MPEG, kwani MPEG always ina high loss of video quality, ubora mdogo wa sauti (Mara nyingi utakuta sauti inakuwa mfumo wa Mono na si stereo) Formats nzuri zaidi kwa DVD players ni MP4 na AVI (Divx avi or Xvid avi).