Msaada! FIFA13 for Sony Ericsson xperia Play.

Kobello

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
9,285
Reaction score
9,045
Naomba msaada kwa anayefahamu jinsi ya kuinstall FIFA 13 for SONY Ericsson Xperia Play. Kama una duka, you will be paid ila ningeshukuru pia kama nitapata msaada.Ninazo tano, na zina Steet Fighter 4 ambayo ni famous States, ila bongo madogo wanataka FIFA 13.

EA Sports wanayo kwenye iOS, lakini kwenye Android sijaona na huku nilipo Android hawaifagilii na hawana maduka special for Andriod, hata nilipoenda BestBuy,Gamestop na Radioshack geek Squads zao hazikuwa na ufahamu wa hayo mambo.

Najua nipo jukwaa la wataalam ... let's do this!
 
mkuu sijafanikiwa kuona fifa 13 ya xperia play na sidhani ipo. bado nina fifa 12 though kama bado unataka. no charge
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…