K kazy Senior Member Joined Sep 13, 2012 Posts 126 Reaction score 50 Sep 6, 2013 #1 kila ninapofanya changes haziwi saved.nikitengeneza custom mpya.nikifanya transfer ya wachezaji zote haziwi saved nikizIma game nikiwasha inajirudi kama ilivyokuwa mpya mwenye kujua tafadhali naomba msaada.natanguliza shukarani
kila ninapofanya changes haziwi saved.nikitengeneza custom mpya.nikifanya transfer ya wachezaji zote haziwi saved nikizIma game nikiwasha inajirudi kama ilivyokuwa mpya mwenye kujua tafadhali naomba msaada.natanguliza shukarani