Msaada: Faida za Konyagi

Msaada: Faida za Konyagi

mparange

Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
21
Reaction score
28
Kila siku silali bila kupata Konyagi chupa ndogo 200 mls, napata usingizi mzuri, napata apetite ya kula, napata relaxation nk.

Je, kiwango hicho kina madhara Konyagi ina faida gani kiafya tofauti na bia?
 
Kwenye usingizi hapo tupo pamoja hiyo kawaida yangu hasa nikitoka kufanya kazi ngumu... Kabla ya kulala nakunywa
 
Iko vizuri ila now nimestop baada ya kukutana na mtu nliyepotezana nae miaka mingi akaniambia saiv inaonekana unakunywa sasa pombe dah nlijisikia vibaya in short pombe kali zinafubaza sura.
 
Haina madhara, hiyo hata peponi ipo. Eh! Tutagida pombe peponi, tena kule kuna mito kabisa ya pombe unajipimia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom