Habari zenu wana JF. Mi natumia dikoda ya startimes, naomba mwenye ufahamu aniambie ni kifurushi gani inapatikana Emanuel tv ya TB Joshua. Ahsanteni na Mungu awabariki.

Startimes waliiweka Emanuel Tv kwa mbwembwe na matangazo kibao watu wakanunua ving'amuzi vyao kwa kasi wakapigwa biti zito waitoe wakasalimu amri wakaichomoa bila kutoa sababu zozote hadi leo. startimes wapo humu wakanushe kama hawakupigwa biti!

kwanza nikuulize uko mkoa gani? kama uko dar, mwanza nuniua nunua nkingamuzi cha agape (tin) au nunua dish kubwa ufiunge LNB ndogo na utaipata kwenye 20ku
emmanuel tv huwa naiangalia kupitia digitek 24/7. Hata mimi nilihisi startimes wamepigwa mkwala, wasingeitangaza vile then ghafla from nowhere wakaiondoa.
kwanza nikuulize uko mkoa gani? kama uko dar, mwanza nuniua nunua nkingamuzi cha agape (tin) au nunua dish kubwa ufiunge LNB ndogo na utaipata kwenye 20ku
Habari zenu wana JF. Mi natumia dikoda ya startimes, naomba mwenye ufahamu aniambie ni kifurushi gani inapatikana Emanuel tv ya TB Joshua. Ahsanteni na Mungu awabariki.
Una haja ya kununua decoda za makampuni we nunua decoda yoyote dukani na dish la futi 6 mwambie fundi akufungie LNB ndogo ya ku band utapata immanuel tv na zingine za dini mzuri sana kama miracle TV na nyingine kama 80 bule bila kulipia