Heshima kwenu wadau.
Kwa muda mrefu nimekuwa nawaza jinsi gani niweze kuwekeza, na eneo mhimu la uwekezaji kutokana na sisi wenye vipato vidogo ni kwenye hisa. Naomba kueleweshwa zaidi juu ya hisa, kampuni ipi inatoa faida kubwa, nikianza na mtaji wa milioni 5,baada ya miaka 2 faida itakuwaje toka kwa kampuni husika. Nimegundua kuweka pesa benki kwa muda mrefu ni kuifadisha bank, bora kuiwekeza.
Nawasilisha kwenu.