Msaada: Duka lenye jeans kali bei rahisi k'koo

JAMani Mansese Big Brother hazipatikani hizo jeans
 
Uzi huu umenivutia sana,mim natafta maduka yanayo uza traki kali origno kama zili wanazo vaa akina daimond.kila nikizunguka dar sizioni anae jua zilipo tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kariakoo House of Jeans nawakubali sana,ukifika sokoni Kariakoo upande wa mabasi ya mwenge ulizia mtu yoyote pale ambaye ni mwenyeji anapajua...
 
Kariakoo House of Jeans nawakubali sana,ukifika sokoni Kariakoo upande wa mabasi ya mwenge ulizia mtu yoyote pale ambaye ni mwenyeji anapajua...

Wao jeans wanaunza sh ngapi?
 
mtoa post kaulizia maduka ya kariakoo labda huenda hajui kwamba posta pia kuna maduka ya jeans kwa hyo alomwelekeza aende posta hajakosea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…