Msaada duka la spare za laptops

Edgarcoco

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
232
Reaction score
81
Habari wakuu. Naomba kujua maduka ya spare za laptops kkoo, ninahitaji lcd screen, keyboard na battery. Nawasilisha
 
ninayo laptop aina ya HP 2000 kama utahitaji spare ya vyote hivyo nambie nikupe bei
Habari wakuu. Naomba kujua maduka ya spare za laptops kkoo, ninahitaji lcd screen, keyboard na battery. Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…