Msaada :Duka gani nitapata vitabu hivi kwa Dar Es Salaam?

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Ndugu, ninatafuta vitabu vifuatavyo:-
*Kwa Heri Uhuru, Kwa Heri Ukoloni

*Zanzibar: Kinyang'anyiro na Utumwa

Ninaomba kuelekezwa, ni duka gani nitaweza kupata vitabu hivyo?

Na vinauzwaje kwa kila kimoja?
 
Au kwa urahis zaid nenda samora kuna jamaa wanauza vitabu watakuelekeza kama wao hawana au posta mpya zaman ilikua maskan ya zero brain pia
 
Ndugu, ninatafuta vitabu vifuatavyo:-
*Kwa Heri Uhuru, Kwa Heri Ukoloni

*Zanzibar: Kinyang'anyiro na Utumwa

Ninaomba kuelekezwa, ni duka gani nitaweza kupata vitabu hivyo?

Na vinauzwaje kwa kila kimoja?

Kuna duka la vitabu liko pale ilipo Steers ya mjini jina limenitoka kidogo. Mimi huwa najipatia vitabu vyangu pale. Wana vitabu vingi na aina tofauti kwa wanaopenda kujisomea. Kila la heri mkuu.
 
Linaitwa Noveal idea
Kuna duka la vitabu liko pale ilipo Steers ya mjini jina limenitoka kidogo. Mimi huwa najipatia vitabu vyangu pale. Wana vitabu vingi na aina tofauti kwa wanaopenda kujisomea. Kila la heri mkuu.
nLin
 
Ndugu, ninatafuta vitabu vifuatavyo:-
*Kwa Heri Uhuru, Kwa Heri Ukoloni

*Zanzibar: Kinyang'anyiro na Utumwa

Ninaomba kuelekezwa, ni duka gani nitaweza kupata vitabu hivyo?

Na vinauzwaje kwa kila kimoja?
mimi ninacho kwa heri uhuru kwa heri ukoloni nimeshakisoma tuwasiliane
 
ikiwa kama kuna mtu anakitabu kinaitwa mnuko wa damu sehem 1,2 naomba ani pm, ninashida sana na kitabu hicho, nlikisoma mwanzoni mwa mwaka ya 90, ila sehem ya kwanza,..
 
ikiwa kama kuna mtu anakitabu kinaitwa mnuko wa damu sehem 1,2 naomba ani pm, ninashida sana na kitabu hicho, nlikisoma mwanzoni mwa mwaka ya 90, ila sehem ya kwanza,..
Acha kudandia ungeanzisha thread yako
 
Back
Top Bottom