MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,693
- 21,765
Naomba msaada,je kifurushi cha dstv cha shilingi elfu 78 naweza kuangalia epl mechi zote?.
Natanguliza shukran
Natanguliza shukran
134,000 compact plus hapo utacheki epl kwenye ss3 na badhi ya game kwenye ss7 huku ss select wakikupa game mara moja moja wikiend.Naomba msaada,je kifurushi cha dstv cha shilingi elfu 78 naweza kuangalia epl mechi zote?.
Natanguliza shukran
Ya bei yangu naweza angalia mechi Kubwa ,mfano manu vs mancity?Hapana ukitaka EPL jiunge na 199,000
yaani 78000 bado huoni mpira bora uje azam TV upate hata ligi ya bongo kwa bei ya kutupa
Naomba msaada,je kifurushi cha dstv cha shilingi elfu 78 naweza kuangalia epl mechi zote?.
Natanguliza shukran
Sasa nani angelipa hicho cha laki mbili?
Naomba msaada,je kifurushi cha dstv cha shilingi elfu 78 naweza kuangalia epl mechi zote?.
Natanguliza shukran
134,000 compact plus hapo utacheki epl kwenye ss3 na badhi ya game kwenye ss7 huku ss select wakikupa game mara moja moja wikiend.
199,000 hapo ndo full karibu game zote utaona.
78,000 compact aah hicho game hamna labda uwe unavizia jumamosi kwenye ss select wakupe ka game kamoja kabaya ambako hata upendi ila utalazimika kutoa macho ili mladi tu uone.