Msaada dozi ya kuzuia HIV (PEP)

Msaada dozi ya kuzuia HIV (PEP)

free one

Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
14
Reaction score
8
Waungwana nipo kwenye dozi, natumia PEP baada ya kuwa exposed na mazingira hatarishi ya maambukizi.

Kawaida nakunywa vidonge hivi mida ya saa nne usiku na leo nina siku ya 8 tangu nizianze.

Jana usiku nilisahau kumeza baada ya kupitiwa na usingizi na nilishtuka alfajiri ya saa 11 asubuhi na kukumbuka nilisahau kumeza hivyo nikazimeza.

Sasa hapa naombeni msaada wenu, Je nitakiwa nimebadili utaratibu wa dozi au vipi? Na je kama ningeacha hili nije niendelee tena leo saa nne usiku (Yaani ningeruka siku moja) ningekuwa nimeharibu utaratibu wa dozi?

Msaada kwa wataalamu wa haya masuala jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna tatizo mzee, endelea na muda wako wa saa 4.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwa hayo

Haukukosea kumeza saa kumi na moja

Inapotokea ukapitiliza muda wa kumeza dawa hakikisha unameza dawa mara tu unapokumbuka

Usikubali kupitisha siku

Pia kwa siku inayofata meza dawa muda sawa na ule ulokumbuka kwa dozi ilopita

Hivo endelea kumeza saa 11

Pia ni ushauri tu ni vema kumeza muda usiokuwa na usumbufu na ugumu kwako mfano muda ule unaenda tu kulala inapendeza zaidi
 
binafsi nikipata 'ajali' huwa natumia kinga hii kwa siku4 tuu, wajuzi ebu mnielimishe nakuwa nimekatiza dozi?
 
Back
Top Bottom