Pole sana, ni mabadiliko inaeza kuchukua miezi 3 kama imetoka si kwa bahati mbaya(kutoa) huwa mzunguko utasumbua kurejea katika hali yake ya kawaida usihofu zingatia mlo wa matunda na virutubisho mbalimbali na pumzisha mwili.
Pole. Ni kawaida, kuna wanaoenda mpk miezi 3-6. Hormones lazima zifanye regulations. Fanya mazoezi na zingatia kula vzr. Kama kuna any further problem utakwenda hosp for further check up!