Msaada dish la DSTV linasumbua ikifika mchana

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,471
Reaction score
17,977
Kila ikifika saa 6 mchana picha zinaganda au kuna kuwa na scratching nyingi. Then ikifika 12-1 jioni inarudi katika hali ya kawaida. Mwanzo nilifikiri ni kwangu tu, nikakutana na watu watatu wenye tatizo kama langu. Nini tatizo? Tupo ifakara.

Msaada tafadhali.
 
umeshawasiliana na customer care ya DSTV?
 
Tatizo hili linasababishwa na kushuka kwa frequency signal za Dstv siyo tatizo la dish, baada ya wiki 2au 3 tatizo huwa linaisha lenyewe lakini ukiona kero sana au kama unafanya biashara ya kuonyesha soccer unaweza kununua lnbf aina ya Fuji hii ndo kiboko ya signal mbovu japo inauzwa bei kubwa lakini utaifurahia.
 

mkuu wildfish nashukuru kwa ushauri. Thank mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…