Msaada: Diploma ya Diplomasia

Msaada: Diploma ya Diplomasia

manento93

Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
54
Reaction score
33
Wakuu habari za majukumu.

Kama kichwa kinavyoeleza, ninaomba kupatiwa ufafanuzi wowte kuhusu masomo ya Diplomat
Vyuo vinavtotoa kozi hiyo, na sifa za anayehitaji kusoma.

Naomba mnipe mchango wenu. Asanteni.
 
Nachokijua ni chuo cha diplomasia kurasini, kawaida diploma unatakiwa uwe umemaliza six au certificate ya diplomasia.
 
Back
Top Bottom