Wakuu nimekuwa nikitumia modem ya Voda na Airtel kwenye laptop yangu kwa muda sasa. Cha kushangaza sasa kila nikiweka modem yoyote kati ya hizo haikubali kufanya kazi. Nika uninstall zote ili ni install upya napata ujumbe kuwa " Devices drivers software was not successfully installed, nimekwama naombeni maujuzi hapo