Habari wapendwa! Nimekutana na dell moja hapa ina sehemu ya kuweka simcard lakini nikienda kwa device manager sioni device yenye jina linalohusiana nalo. je inawezekana kuweka simcard na kutumia kama modem na inatambulishwaje?
Yeah, hata mimi yangu ni Lattitude D630, kuna sehemu ya sim card chini ya betri, nikajaribu kuweka line lakini sikuona action yoyote mu-computer. A help please?
nakumbuka ni ispiron kwa model nimesahau ila itakuwa yangu soon, nitaweka details za kutosha. kuna mdau ameniambia nitafute ktk website ya Dell then niandike broadband utility program nitapata