Msaada. Dell GX 780 Inanizingua

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,772
tatizo inawaka taa ya njano halafu inablink namba 1 na 2 nisaidieni wakuu
 
tatizo inawaka taa ya njano halafu inablink namba 1 na 2 nisaidieni wakuu
fungua chomoa kila kitu isipokuwa processor then washa uone. uendelee kuchomeka kimoja kimoja huku ukijaribu kuwasha
 
fungua chomoa kila kitu isipokuwa processor then washa uone. uendelee kuchomeka kimoja kimoja huku ukijaribu kuwasha
Mkuu nimejaribu hiyo, nimebadili mpaka Power suply nimeamua kuwa
motherboard imekufa
 
Kama alivyo sema ymollel chomoa kila kitu ispokua processor.
au PSU inaweza kua imezingua.
Mkuu unapatikana wapi nina shida ya motherboard ya dell Vostro na optiplex gx 780
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…