Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,678 Reaction score 5,166 Dec 21, 2016 #1 Habar wanajamvi! naomba msaada kuzifahamu hizo kozi i mean kazi zake.Ipi rahis kupata kazi.mtu anaesoma hzo kozi anakkuwa kama nani katika ofisi msaada wadau. ahsanten
Habar wanajamvi! naomba msaada kuzifahamu hizo kozi i mean kazi zake.Ipi rahis kupata kazi.mtu anaesoma hzo kozi anakkuwa kama nani katika ofisi msaada wadau. ahsanten