Msaada: Dawa ya mtu kuacha pombe

Kwanza niwape pole sana kama familia kwa changamoto hiyo.

Mara nyingi watu hua tunachukulia unywaji pombe kama kitu ambacho ni harmless hasa pale kijana anapoanza. Saa nyingine utakuta hata ndugu/wazazi wanawanunulia pombe vijana wao bila kujua madhara ya baadae. By the time mnakuja kugutuka its too late mtu ameshaharibikiwa.

Kuhusu dawa ya kuacha pombe, binafsi siamini kama ipo. Ni mtu mwenyewe aamue kutoka moyoni kwamba kuanzia sasa pombe baas! Otherwise mtahangaika sana bila mafanikio. So far nimeshapoteza ndugu wawili na rafiki mmoja kwa ulevi na hakuna chochote tulichofanya kilisaidia.
 
Nenda pale kivukoni kwenye bajaji kuna ustaadhi anauza au baruti upande wa kulia kama unatoka kimara mida ya jioni kuna jamaa anauza au jmosi nikumbushe nikasake kichupa maana kilimsaidia mdogo wangu mi bado sijaamua kuacha
 
Dawa ya kuacha pombe ni kifo tu nnavyojua mimi
 
Niunganishe na huyo daktari (
mchungaji)wako tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…