Msaada dawa ya kuku kuharisha damu

Msaada dawa ya kuku kuharisha damu

CHANGER

Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
96
Reaction score
14
vifaranga vya kuku wa kienyeji vinajisaidia kinyesi kilichochananyikana na damu nimejaribu tumia esb3 kwa mda kama wiki na nusu ila bado tatizo linaendelea
 
Back
Top Bottom