Poleni sana, asali ni tiba ya kila kituSafisha vizuri sehemu alafu kausha kwa kitambaa safi kisha paka asali, ndani ya wiki njoo unishukuru, zilinitesa zaidi ya miaka kumi na ushee nimepona juzi tu nasikia hata mapunye asali ni dawa
Tumia dawa inaitwa intraconizoleHabari zenu wakuu natumaini mu wazima. Moja kwamoja kwenye mada...
Wakuu mimi ni kijana jinsia "me" nasumbuliwa na tatizo la FANGUS kwa muda mrefu. Nimetumia dawa mbalimbali za kunywa "fluconazol" yawezekana nimekosea kuandika Ila jina lake linaendana na hilo, pia nimetumia dawa za kupaka lakini tatizo bado halijaisha. kwa wale waliokaa hosteli wanaita "pumbu jero" Yaani fangusi wapo kwenye mapumb. Mwanzoni walikuwa wanawasha Sasa nnavojikuna ngozi inakwanguka lakini saizi hawawashi Sana Kama mwanzo Ila ngozi ya kwenye korodani inabanduka Yaani inaonekana kabisa hii ni fangus. Hospitalini nimeenda kila Mara lakini tatizo naona bado haliishi.
Kama na wewe ulishawahi pata huu ungonjwa na ukapona Basi ulitumia dawa gani..??, au Kama unaifahamu dawa yake naomba share mahali hapa kwani naamini itawasaidia na wengine wengi.
Ahsanteni
Sorry morogoro hospital gani huyo doctor yupo ?Tumia dawa inaitwa intraconizole
Au kama upo morogoro nikupee no ya dokta
Sua hospital Main campusSorry morogoro hospital gani huyo doctor yupo ?
Duh unamwambia apake huko? Mimi nilikuwa nimefanya kama 'ringworm' kwenye mkono nikaweka hiyo dawa bila ya kusoma maelekezo. Nilichukuwa pamba nikaweka dawa kwenye eneo lilioathirika halafu nikasugulia vizuri kwa pamba, loh! niliruka ruka kama nacheza ngoma ya kimasai. Lakini nashukuru niliweka mara mbili tu likapotea kabisa.Kuna ile dawa iko kama spirit ila niya kijani .una paka baada ya kuoga ila kuwasha kwake ni zaidi ya kuweka chumvi plus spirit kwenye kidonda ni kaliiiii
Yeye akipaka uko sijui atakua kwenye hali gani ila kwakua inasaidia apambane tuDuh unamwambia apake huko? Mimi nilikuwa nimefanya kama 'ringworm' kwenye mkono nikaweka hiyo dawa bila ya kusoma maelekezo. Nilichukuwa pamba nikaweka dawa kwenye eneo lilioathirika halafu nikasugulia vizuri kwa pamba, loh! niliruka ruka kama nacheza ngoma ya kimasai. Lakini nashukuru niliweka mara mbili tu likapotea kabisa.
Mimi nilipaka nikajikuta nipo nje uchi,sijui yeye ni mvumilivu kiasi ganiYeye akipaka uko sijui atakua kwenye hali gani ila kwakua inasaidia apambane tu