Msaada: Dawa kiboko kwa ajili ya wadudu weupe kwenye yebo yebo

babuukikolo

Senior Member
Jan 1, 2014
144
163
Habari za leo wakuu, kichwa cha habari kinajieleza...nina ile fensi ya yebo yebo sasa kuna wale wadudu weupe(white flies) wamekuwa kero sana..

Nimetumia duduba na inaua sema ni kama imewazoea na kipindi hiki cha mvua wanazaliana sana
Naomba msaada dawa kali ambayo itawamaliza hawa wadudu maana dawa nyingi sana haziwauwi.

Natanguliza shukran zangu
 
Back
Top Bottom