Hamna mkuu. Mie nilitibuana na wife akafuta data zote za ofisini halafu alivyokuwa katika ubora akaenda na bin kuziempty kabisa. Nilitafuta magwiji wa computer hasa data recovery wakahangaika masaa 74 zikarudi 5% tu zingine zikarudi majina tu contents hamna, isingekuwa huu utaratibu wa kuattach kila report kwenye outlook ningekosa job. Komaa kivingine data hazirudi utapoteza muda na pesa tu
downlaod crack hapa Zippyshare.com - EaseUS.Data.Recovery.Wizard.v9.0.Technician.patchs-REiS.rar na setup hapa http://download.easeus.com/trial/drw_trial.exe
Mkuu nashukuru kwa kunipa experience ila ngoja wadau wanipe maujanja kidogo...niyafanyie kazi huwenda nikabahatika kupata japo nusu ya data zangu...mkeo huwenda alienda deep sana katika kuerase izo data zako,that is why ikakugomea!Hamna mkuu. Mie nilitibuana na wife akafuta data zote za ofisini halafu alivyokuwa katika ubora akaenda na bin kuziempty kabisa. Nilitafuta magwiji wa computer hasa data recovery wakahangaika masaa 74 zikarudi 5% tu zingine zikarudi majina tu contents hamna, isingekuwa huu utaratibu wa kuattach kila report kwenye outlook ningekosa job. Komaa kivingine data hazirudi utapoteza muda na pesa tu
Mkuu nikishakuwa na iyo utorrent na kisha kudownload iyo ex ya data recovery itakuwa imejitosheleza au kuna kitu gani cha zaida itanibidi nikifanye...kwa sababu nahitaji ambayo ni totally free for full data recovery.Ingia www.kat.ph
Tafuta torrent file ya Data Recovery...
Utaletewa za kumwaga ni wewe tu kuamua ya udownload ipi...
Hakikisha kwanza una torrent download manager kama utorrent etc.
Mkuu nikishakuwa na iyo utorrent na kisha kudownload iyo ex ya data recovery itakuwa imejitosheleza au kuna kitu gani cha zaida itanibidi nikifanye...kwa sababu nahitaji ambayo ni totally free for full data recovery.
Tafuta software inaitwa testdisk it's open source and free, one of the best data recovery tool, ukitaka kuifaidi itumie kwenye Linux kama ubuntu hivi halafu hiyo disk ilofutwa data iweke kama external drive, i once recovered 90% of lost data with it...
Mkuu data we hata ukifuta kwenye recycle bin, huwa kuna uwezekano wakuzirudisha, tena mkubwa tu unless umepata watu wenye uwezo huo with good forensic tools.
FBI jiulize huwa wanafanyaje kurecover data zako zakwenye hdd kama ulizifuta within a month or year tena wataweza kujua ulichomeka flash drive lini na ulifanya nini only "swap"
this world is too insane to us third parties.
Kuna RATs na baadhi ya keyloggers nikikuingizia kwenye PC yako hata uformat na upige windows vipi hazitoki.
Nashukuru mkuu...!
Vipi kwa kama natumia window 7 as OS haitafunction properly?na kama haina shida kwa window 7 ntashukuru sana mkuu kama utanisaidia direct link ili nkaipakue.natanguliza shukran!
ukisha install setup then extract hiyo hiyo crack kisha open then patch