Ni uungwana kupokea ushauri. Kuanza kutukana si usomi, jaribu kuelimika kidogo.
Hebu rudia kusoma ujumbe wako na ufanye masahihisho
kuna aina ya ushauri unaweza upokea na kuufanyia kazi, lakini kunaushauri mwingine ni wa kubeza na maudhi, na ndo mana wengi wetu hatuendelei, lilikuwa ni swala la kusema umekosea kuandika na kunipa ushauri wake sio kuanza kuponda
i want it to be something i look at and be proud of as something that i've done by myself, so i'd rather just consult you man!
Au angalia hapa Kiingereza mkuu, hii si sawa. Ni vyema ukajenga utamaduni wa kupitia ulichoandika kabla ya kusend. Ubarikiweokey later i check you, nimepata your no
Na kingereza chako hichi utazielewa zile comand za spss kweli, umeshapewa namba malizana na mtaalamu unajidhalilisha kuendelea kuandika kingereza kibovu hapa,by the way unafanya certificate ya nini??
hahah mkuu umemaliza!
Dogo sijabisha kuwa kuna companies zinatoa statistical support but iko kikazi zaidi sio kwa wanafuzi the best you can do to students is to guide them and not to write them their proposal/thesis! Unasema mimi nataka watu wasiendelee? Uko serious kweli mimi na advocate wanafunzi waandike wenyewe thesis zao wewe unasema nataka wasiendelee? Unashauri waandikiwe? Tutafika kweli namna hii? Badili strategy yenu mfocus zaidi kusaidia mambo haya kama kwenye taasisi zinazofanya tafiti mbalimbali ambazo huwa wana-outsource mambo kama haya SIO KWA WANAFUNZI.
Pia hoja yangu haikuwa kwenye statistical support, ni kumuandikia mtu proposal au thesis tena mtu mwenyewe mwanafunzi wa degree, masters au PhD, this is utterly rubbish ni moja wapo ya stage anazotakiwa kupitia yeye mwenyewe.
Ni kweli unaweza kuniajili, tuanzie kwenye kuwarekebishia webpage yenu maana "kiinglish" mlichokitumia pale kuna uwezekano mkubwa kinawapotezea baadhi ya clients so mngeweza kuwa mnaingiza hata 10m easily as is. How can one make one too many typos in a page inayotakiwa kuwa ndio sura ya kampuni? How long have you had the webpage up and running? Didn't you see these mistakes? Plural ya person ni peoples? Au mlitaka tukisoma tujibu powerrrrr! This makes what you write to your clients questionable maana umeshindwa hata kuproof read your page which until now is still killing mbavu zangu 😛op2:
haha, I think you should use my initial post to question my language skills. In fact, why not show me your skills too so we can make some sort of comparison?
PS; I'm taking a Bachelor Degree, sir!
You're not being useful. Ndiyo nipo Datastar nachukua pHd.
haha, I think you should use my initial post to question my language skills. In fact, why not show me your skills too so we can make some sort of comparison?
PS; I'm taking a Bachelor Degree, sir!
well, honestly I am writing my proposal at the moment, and I need to show how I'm going to process and analyze the data ambazo nitakusanya before I actually start the research itself. Quit asking about my supervisor, if I hadn't any issues why would I come here and ask for assistance in the first place? Don't be too quick to judge and make yourself useful. If you can't give a solution shut your mouth.Mkuu ndo tatizo la vyuo vyetu eti huyo mwanafunzi anafanya research had kufikia data collection hajui yote hayo na supervisor wake anamruhusu aendelee next steps za research yake,sasa anza kuvuta picha ya report itavokua,km ulivosema kwa academic level ni supervisor wako ndo ana act km consultant lkn kwa inavoonekana supervisor naye ni jipu tu,ndo mana nchi hii hawa wanaojiita wasomi wamejaa lkn nchi haisongi mbele.
Binafsi nimeisoma SPSS na kabla ya kuitumia lazima uframe maswali yaendane na coding za SPSS sasa sidhan hata km huyo student alifanya hivo awali km haijui SPSS kwa kiwango anachoombea msaada.
well, honestly I am writing my proposal at the moment, and I need to show how I'm going to process and analyze the data ambazo nitakusanya before I actually start the research itself. Quit asking about my supervisor, if I hadn't any issues why would I come here and ask for assistance in the first place? Don't be too quick to judge and make yourself useful. If you can't give a solution shut your mouth.
....Ndugu, hebu pitia kitabu hiki http://www.academia.dk/BiologiskAnt.../PDF/SPSS_Statistical_Analyses_using_SPSS.pdfHabari wanajamvi! I hope you are all good! I'm a university student na niko katika mchakato wa kandika research yangu ambayo iko qualitative na quantitative in nature. Nimekwisha kusanya data zote na kuzi-edit tayari ila hiccup iko kwenye kuziprocess na zinionyeshe matokeo. I'm about to use SPSS kama software katika research yangu. I don't know how to process the data I've collected. Each book i try to consult seems too abstract to actually understand that part of data processing. I'm attaching an illustration from Kothari (2004). A little help would be sincerely appreciated guys!
well thanks, do i have to pay you?
Mkuu anayeomba msaada pamoja na great thinkers tulio wengi humu jamvini tunaielewa vizuri lugha ya taifa kwa nini usimjibu kwa lugha ambayo unailewa vizuri kuliko kujidhalilisha kwa kutumia lugha ambayo hakika inakupiga chenga!!!!!!.