Msemaji_ JF-Expert Member Joined Oct 22, 2016 Posts 611 Reaction score 841 Jan 20, 2017 #1 Wasaalam JF Kama nilivyo ongea hapo juu, mm kwenye Data base creation ni begginer but naijua kidogo sasa basi nahitaji kujua jinsi ya kutrasilate E/R relation model to Relation model nawasilisha
Wasaalam JF Kama nilivyo ongea hapo juu, mm kwenye Data base creation ni begginer but naijua kidogo sasa basi nahitaji kujua jinsi ya kutrasilate E/R relation model to Relation model nawasilisha
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,557 Jan 20, 2017 #2 Nitarudi
spacing JF-Expert Member Joined Nov 22, 2014 Posts 265 Reaction score 112 Jan 20, 2017 #3 unatumia language gani
Mr. Django JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 1,830 Reaction score 2,434 Jan 20, 2017 #4 Tafuta kitu kinaitwa MySQL workbench kama unadevelop hizo ERD kwa ajili ya MySQL
Msemaji_ JF-Expert Member Joined Oct 22, 2016 Posts 611 Reaction score 841 Jan 20, 2017 Thread starter #5 spacing said: unatumia language gani Click to expand... natumia MYSQL katika kuretrieve data na ku querry
spacing said: unatumia language gani Click to expand... natumia MYSQL katika kuretrieve data na ku querry
Msemaji_ JF-Expert Member Joined Oct 22, 2016 Posts 611 Reaction score 841 Jan 20, 2017 Thread starter #6 Mr. Django said: Tafuta kitu kinaitwa MySQL workbench kama unadevelop hizo ERD kwa ajili ya MySQL Click to expand... niki google nitazipata hizo workbench?
Mr. Django said: Tafuta kitu kinaitwa MySQL workbench kama unadevelop hizo ERD kwa ajili ya MySQL Click to expand... niki google nitazipata hizo workbench?
Mr. Django JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 1,830 Reaction score 2,434 Jan 20, 2017 #7 Msemaji_ said: niki google nitazipata hizo workbench? Click to expand... Haziko nyingi ni MySQL Workbench ni jina moja hilo! It used to be free, Ila kwa sasa sijui! Google tu utaipata na ni rahisi sana kuitumia
Msemaji_ said: niki google nitazipata hizo workbench? Click to expand... Haziko nyingi ni MySQL Workbench ni jina moja hilo! It used to be free, Ila kwa sasa sijui! Google tu utaipata na ni rahisi sana kuitumia
Msemaji_ JF-Expert Member Joined Oct 22, 2016 Posts 611 Reaction score 841 Jan 20, 2017 Thread starter #8 Mr. Django said: Haziko nyingi ni MySQL Workbench ni jina moja hilo! It used to be free, Ila kwa sasa sijui! Google tu utaipata na ni rahisi sana kuitumia Click to expand... thnks
Mr. Django said: Haziko nyingi ni MySQL Workbench ni jina moja hilo! It used to be free, Ila kwa sasa sijui! Google tu utaipata na ni rahisi sana kuitumia Click to expand... thnks