malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,717
- 4,295
Habar wakuu wapi ntapata daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama kwa Dar iwe private au Serikali
Mke wangu anatatizo tangu wakat wa mimba yamtoto wetu wa tatu,alikua anapata maumivu ya tumbo usawa wa kitovu nakinena pemben na juu kidogo,anapata maumivu makalii mithili yakuhisi kama Kuna kitu ndani kinajikunja, alafu hiyo sehemu kama Kuna vimb panaumuka kama jipu kubwa
Hali hiyo anaweza kaa nayo masaa matatu Kisha akipaka mafuta ya nazi panapotea maumivu yanaisha
Wajuzi nawazoefu inaweza kuwa shida ni nini
Nahitaji kuonana na daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama aejua daktari au hospital nokapata msaada iwe private au serikali ,